Ok
Music Created By UdioMusic AI
Ok
2024-10-30 13:31:40
Lyrics
[Intro]
I'm sorry baby, I'm not good enough for this..,pombe, wanawake nimeacha, I'm so... sorry...
Call Aby_Music
[Verse]
Nisamehee.. kwa makosa yote niliokutendea..
Hayo unayoyajua ni machache... nina mengi siwezi kuyaeleza.., naogopa kukuumizaaaa, siwezi sema niliteleza.. nakili kosa na nahofu kukupoteza..
Mtu pekee wa kunisamehe..ni wewe,
anayeyejua mapungufu yangu ni weweee..Kila kitu ni wewe...
[Chorus]
Nimekuwa mwovu kwenye penzi letu nakili kosaaa... sijawahi kuwa muwazi kwako hata siku Moja... kosa langu ni usalitiii.., hakuna haja ya kufanya tafitiii...mchawi ni mimi mwenyeweee..., usinipe mwanao nikulelee..
[Verse]
Nimekuwa nikikupiga Kila unapo nionya tabia yangu..., sikutaka kabisa uingilie maisha yangu..., pombe, wanawake ndio ilikuwa starehe yangu.. naona aibu Kila nikikumbuka maovu yangu...,ila nimekili naenda kutubu, kabla sijafika huko nisamehe mpenzi wangu...
[Chorus]
Nimekuwa mwovu kwenye penzi letu nakili kosaaa.... sijawahi kuwa muwazi kwako hata siku Moja... kosa langu ni usalitiii... hakuna haja ya kufanya tafitiii...mchawi ni mimi mwenyeweee..., usinipe mwanao nikulelee..
[Verse]
Hakuna nilichokuwa nakosa kutoka kwako, ni basi tu, ndio maana ukiu
Style of Music
Rnb, soul